Breaking News
recent

Mdogo wake Diamond (Dogo S. Kide) ampa salaam zake Nay wa Mitegeo amuita Dada Neema Msikilize Hapo Chini

The Dady D Blog
Hii ni kali hata kuliko ule wa Diamond kabla hajatoka.Dogo anamuita Nay wa Mitego Dada Neema wa Manzese Darajani na aache kujishaua ashatolewa barua.Mchumba wake ni CHIDI Benzi na mshenga ni Dully Sykes.Anajichora maua kwa kuwa ni Bibi Harusi mtarajiwa. Anashangaa anajiita Nay wakati wazazi wake walimpa jina la Neema.Kiukweli dogo kaua ajabu.Nay akimkamata sijui itakuaje.Ni bonge moja la ngoma na sina mbavu kwa kweli.Isikilize hapa Chini na kuidownload.
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.