The Dady D Blog

Hii ni ngoma mpya kutoka kwa mwanamuziki Sumalee ambae hapo nyuma alitamba sana na ngoma yake ya HAKUNAGA ambayo ilitokewa kupedwa na fans wengi wa muziki ...
Sasa safari hii ameamua kuachia ngoma yake nyingine inayokwenda kwa jina la "WANASEMA" ... Ngoma hii ameifanya ndani ya Studio ya AM Records chini ya Producer Maneck ...
Kuwa wa kwanza kuisikiliza ngoma hii hapa chini ...
No comments:
Post a Comment