Breaking News
recent

Download | Gozzo ft JCB - Shika [Audio]

The Dady D Blog
 
Ni new joint kutoka kwa MC Gozzo akiwa na rapper kutoka kundi la WATENGWA maarufu kama JCB Makallah, kwa pamoja wameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la "SHIKA"...
Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa ndani ya studio ya Kazawaza Record na vocal zimefanywa ndani ya NoizMekah Production chini ya Producer DX...
Sikiliza ngoma hii hapa chini ...
Unknown

Unknown

No comments:

Powered by Blogger.